Wednesday, March 28, 2012

Chizi

Chizi mmoja alichukua spanner na kwenda
bank.
Mlangoni alikutana na askari na kumuuliza
"unakwenda wapi na hio spanner?"
Chizi akajibu "Nakwenda kufunguwa
account..."
Askari hoi!!!
Aiii... Yaawa!!!

No comments:

Post a Comment