Friday, June 8, 2012
SHARO
KAMA KAWA KAMA DAWA.... SHARO KAKUTANA NA SISTER DUU NJIANI!!!!
Sharo: "Mambo dada....?!?"
Sister du: "Poa tu vp??!!??"
Sharo: "Safi tu... Sijui nimekuona wapi mwenzangu... kama nakujua jua vile!!!!!"
Sisterdu: "Mmmmh, kwani we unasoma wapi?!?"
Sharo: "Ndo nipo kidato cha SITA Jangwani...."
Sister du: "Mmmmh, jamani... Hiyo si shule ya wasichana?!?"
Sharo: "Aaah sory nimechanganya na shule anayosoma sister wangu!!! Mi nipo 6 Kisutu!!!"
Sister du: "Mweeh.... Mbona nayo ya wasichana...?!?"
Sharo: "Hahahahaaaah, nilikuwa nakutaniatu nione kama umesoma soma na wewe... Mi nachukua masters LOYOLA HIGH SCHOOL ile ya MABIBO...."
Sister du: "Khaaaa... High schools toka lini wakatoa MASTERS?!?!"
Sharo: "Embu ishia zako!!!! Demu mwenyewe hulipi wala nini... Mwanamke gani unaniuliza maswali kama tupo UHAMIAJI!?? KWA TAHARIFA YAKO MI BAB KUBWA WEWE... TENA NILIKUWA NAKUPIMA TU.... HAPA NAMALIZIA PHD YA UDAKTARI CBE then naenda somea DEGREE yake kabisa ya UDOKTA IFM next year....!!!!!"
Subscribe to:
Posts (Atom)