Mhindi,mpare na mchaga walienda kutoa msaada wa pesa kwa maskini. Lakini waliweka masharti kwa maskini hao kwa jinsi watakavyopata msaada huo:-
MHINDI>mimi ntachora duara kisha ntarusha pesa juu,zitakazoingia zenu,zitakazo toka nje zangu
MCHAGA>mimi ntachora mstari kisha ntarusha pesa juu,zitakazo dondokea kwenye mstari zenu,zitakazo toka nje zangu
MPARE>mimi ntarusha pesa juu zitakazobaki juu zenu,zitakazorudi chini zangu.....................
No comments:
Post a Comment