Bibi kizee mmoja aliamua kusherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kujipa starehe ya kukaa kwenye 5 star hotel nzuri, jijini London!!!!
Asubuhi, kapewa bill ya $450 akiwa amepigwa na butwaa akasema....
"Whaaaat?!? Just a single night in an ordinary room inacost that much?!?"
Akakataa kulipa!!! Akaomba kumuona Meneja...
Meneja alivyokuja, akaexplain kuwa hiyo hotel ina swimming pool, gym, sauna, wireless internet, usiku kulikuwa na live band, free wines etc...
Yule bibi akasema hajatumia any of those extras...
Meneja akasema,
"Sorry madam, but there were here, you could use them..."
Bibi akaandika cheki ya $50 akampa Meneja,"Tusidaiane..."
Meneja akashangaa, "Whattt, how?!?"
Bibi akamwambia...
"Samahani, nimekata $400 kama malipo ya kusex na mimi..."
Meneja akasema,
"But I didn't sex with u?!?!"
Bibi akamjibu,
"Dats non of my business, u could... l was here and l am charging u for that, BYE!!!!"
No comments:
Post a Comment