Machiz wakiwa katka vpmo
Machiz wakiwa katka vpmo,akaitwa wa chz kwanza Dokta:hv ww ukpewa ndizi utafanyaje?? CHIZI 1:ntaiosha DOKTA:halafu...?? CHIZI 1:ntaimenya,ntaiweka kwny sahan halfu ntaila........akaitwa wa pili kumbe yule wa pili aliibia majbu ya mwenzie bac kaz ikawa hv DOKTA:wewe ukipewa baiskel utaifanyaje..?CHIZI 2:ntaichukua DOKTA:halafu..?? CHIZI:ntaiosha ntaiweka kwny sahan halfu ntaila...........dokta hoiiii
No comments:
Post a Comment