Basi moja la abiria
Basi moja la abiria lilipata ajali liliteleza likatumbukia mtoni kila mtu akajiokowa mwenyewe kuna zuzu mmoja alipofika juu akavua nguo zote akajitosa tena watu wakashangaa na kumuuliza ''we vipi'? Akajibu ''naenda kumtafuta konda hajanirudishia chenji yangu''
No comments:
Post a Comment