Wednesday, March 28, 2012

dokta

mgonjwa: dokta nimekuja nina tatizo la kusahau yani nikisema neno au ukinambia hapo hapo nasahau
dokta: tatizo hilo limekuanza lini?
Mgonjwa : tatizo gani?
Dokta akachoka....

No comments:

Post a Comment