Wednesday, March 28, 2012

Jamaa alikutana na msichan akampenda.

Jamaa alikutana na msichan akampenda. Sasas akawa anataka long kiss (mate)
msichana akakubali. Wakaanza,lakini wakati wanapata long kiss mvulana akamwambia "Subiri kwanza mbona kuna chembechembe za maharage, dagaa kwenye mdomo wako? Msichan akajibu " okk! Nilitoka kutapika muda si mrefu samahan my love ................
UNGEFANYAJE KAMA NI WEWE?

No comments:

Post a Comment