Majambazi walivamia benki moja nchini Kenya
na kuwaambia watu woote waliomo ndani
wasimame kwenye ukuta.
Mkuu wa majambazi wale akasema kwa sauti
"Kabla ya sisi kuondoka hapa tutawabaka
wanaume wote na kuwapora wanawake wote"
Jambazi mmoja akaona amsahihishe kiongozi
wake akamnong'oneza "Boss sema
tutawabaka wanawake na kuwapora
wanaume"
Wakati wakiambiazana haya kumbe kuna
shoga mmoja la Kimombasa
mule ndani akawasikia, shoga yule akaruka
kumwambia jambazi aliekuwa anamsahihisha
Jambazi mkuu.... "Unanini nawe kujitia
kimbelembele na umbea? He is the boss, you
should listen to him!!!"
No comments:
Post a Comment