Mwanamahesabu na Changudoa.
(Changudoa);Goli moja kitandani
sh.10000,goli moja kwenye sofa sh.5000
na goli moja kwenye nyasi sh.2000.(Mteja
akatoa sh.10000). (Changudoa);Kweli
... wewe pedeshee,nilijua tu utataka
kitandani. (Mteja);Nani pedeshee?,hiyo
hela ni ya goli tano za kwenye nyasi!
No comments:
Post a Comment