Wednesday, March 28, 2012

Moto

Moto uliwaka kwenye hoteli flani maarufu hivyo wa2 ilibidi wajirushe kutoka ghorofa za juu sana... Wa2 binafsi walileta vifaa mbalimbali vya kusaidia wa9umie ila kwa dau... Jamaa wakwanza akasema elfu30 wakasogeza aji2pe. Mara wapili akadakia laki.. Wakamsogezea na akaji2pa ila ameji2pa kabibi ka miaka100 kakasema mimi laki 5 otea kilicho fuata

No comments:

Post a Comment