Wednesday, March 28, 2012

kuna bb m1 alienda benk kufungua account

kuna bb m1 alienda benk kufungua account bt alivyofka benk akawa anataka aonane na manager kwanza....customer servic wakamzuia wakidai boss yupo busy hatak kuonana na m2 by dt tym...wakat mzozo unaendelea manager akatoka oficn kwake akamwta yule bb amsaidie shda yake...bb akaenda ofcn na manager maongez yakawa hv..
MANAGER:unashda gan bib
BIB: nataka kufungua account,nweke milion 30 zangu
MANAGER: mmmh mbona unaonekana mzee xana pesa zote umeztoa wap?
BIB: Nimezpata kweny mchezo wa kupnga, hata ww ukitaka 2naweza pinga 2
MANAGER: mmh 2napingaje kwan?
BIB: aah rahis sana, mm naweka hzo milion 30 na ww weka hzo hzo,mpk kesho sa nne asubuh sehem zako za sir zitakua ngumu sana kama mawe...zcipokua hvyo umenila zkiwa nmekula ww...
MANAGER:mmmh sawa hamna shda,2mepnga
kesho yake asubuh saa nne yule bb alikuja na mzee mwngne pale benk...manager alivyomuona bb akamwambia bb umeliwa sehem zang za sir zpo km kawaida
BIB: sawa mjukuu wang xa mm ntaaminije bila kuzshika..?
MANAGER: njoo 2 uhakikishe bib...
bib akaenda akaanza kumshika yule manager sehem za sir...wakat anamshika vle yule mzee aliekuja nae akawa ameshka kichwa huku anatukana
manager akamuulza bib vip mbona yule mzee uliyekuja nae kawa vile....?
Bib akamjibu yule nilpnga nae kwa milion 80 kuwa naweza kumshika manager wa benk sehem zake za siri akabsha ndo nikapnga nae...xo kashaliwa pale

No comments:

Post a Comment