John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani
kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji.
Baada ya maakuli na wakati vinywaji
vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni
wao Fred walikuwa wanacheza karata.
... Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini
ya meza, Fred alipoinama kuichukua
akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa
amevaa chupi. Fred akahamanika kwa
aibu, japo John hakukugundua.
Baadae kidogo John alipokwenda jikoni
kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza
Fred:"Umekipenda ulichokiona?"
Fred: "Ndiyo".
Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe
ijumaa mchana maana John huenda site
visits kwa wateja wake kila ijumaa.
Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki
na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni
akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"
Lisa akawaza:'Inawez ekana alimuona
akija au kaambiwa', akajibu:"Ndiyo, alipita
hapa mara moja".
John: "Safi, alikuachia laki moja?"
Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'.
Akamjibu mumewe kwa upole:"Ndiyo,
kaileta".
John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja
asubuhi ofisiniakanikopa laki moja na
akasema atapita nyumbani akuachie
mchana"
Lisa : akabaki ametoa macho kumbe ametoa bureee
No comments:
Post a Comment