mashindano ya watu wa fupi duniani
Kulikuwa na mashindano ya watu wa fupi duniani. Kuna jamaa mmoja akaamua kwenda kushiriki akiamini yeye ndiye mfupi kuliko wote. Mara alipofika mlangoni akakutana na jamaa yupo ndani ya kiberiti amenyoosha mikono na bado haonekani. Jamaa akauliza kulikoni unaatoka mapema?? Jamaa akajibu huko ndani mpambano ni mgumu kuna jamaa amekaa kwenye kiwembe na miguu haijafika chini....!!!
No comments:
Post a Comment