Machizi
Machizi wameambiwa na mwalimu wao wachore treni na linapita kwenye reli yake... Wakachora sasa mwalimu akasema ngoja acheki mwisho wa darasa akamkuta chizi mmoja kachora reli peke yake akamuuliza kwanini umechora reli pekeyake akasema umechelewa kidogo2 limeshaondoka kwani hukusikia honi huko nje?
No comments:
Post a Comment