WAHAYA JAMANI PUNGUZENI MAJIVUNO
Habari! Familia ya bibi na bwana Rwehangira houston wa tandale dar es salaam wanasikitika kutanga kifo cha mtoto wao mpendwa whitney rwehangira houston wa buguruni kwa mnyamani kilichotokea leo asubuhi, mazishi yatafanyika jumamosi nyumbani kwao kanyigo karagwe bukoba, habari ziwafikie Mr. Rutamazibwa wa World bank, mzee Rwehimamu wa Ubalozi wa marekani Canada, mtoto wa marehemu alicia Rwechungura wa Oxford university bila kumsahau house girl wake kokushubira Mugishagwe aliyekuwa ameenda shoping South africa!
No comments:
Post a Comment