Kulikuwa kuna wa dada wawili na bibi moja walikuwa wanakata kuni porini, mara majambazi waka wateka wakasema adhabu yenu itakuwa nikufanya mapenzi na nyie..
Wote wale mabint wakasema tuna omba msifanye mapenzi na bibi yetu msamehe kwan yeye ni mzee ila sit upo tayari... Ghafla bibi akadakia...
"Adhabu ni adhabu tu haijalish mzee au kijana sisi wote si tume tekwa lazima adhabu Itupate wote..."
No comments:
Post a Comment