Sunday, February 12, 2012

Pedeshee

Pedeshee mmoja alikua anapenda kuonga saaaaana, bac kuna siku aliamua aende kanisani kumwabudu Mungu...

Mbele yake alikuwa amekaa sister duu wa UKWELI, jamaa akawa anamcheki mwanzo mwishi misa nzima... Wakati wa kutoa sadaka ndio akaona Muda muwafaka wa kujitutumua... Basi ile kikapu kinafika kwa yule demu, PEDESHEE anamgusa kwa nyuma na kumnong'oneza....

"USIHOFU MREMBO.... TAKULIPIA SADAKA SEMA NIN KINGINE...!!!!!"

No comments:

Post a Comment