Sunday, February 12, 2012

mchumba

Kijana wa kiume ampeleka mchumba wk kumtambulisha kwao,alipofika tu baba yk akagundua dosarì maana binti alkuwa mweusi tii,ana matege makali na makengeza ya maana!duuh msichana kuona sura ya baba mkwe wk imebadìlika ikabidi atabasamu kdg,lahaula! Alikuwa na mapengo hana meno yote ya mbele!baba akaamua amwite kijana wk! Baba: mwanangu ebu twende nje kidogo tuongee kijana: baba sema tu hapa hapa mchumba wangu n kiziwi...!

No comments:

Post a Comment