Mtoto mmoja kiarabu from familia kitajiri aliamua kumuandikia baba yake email huko warabuni
Iko hivi:"Baba huku berlin najisikia aibu kutembelea ferrari yangu ya dhahabu kuelekea shuleni,angali walimu wangu na wanafunzi wenzangu wanaenda shule na Public train."
Basi baada wiki mzee akajibu hivi kwenye email
"Nimekuelewa mwanangu nimekuwekea Dollar Millioni 50 kwenye account.Nenda kanunue private train yako pekeyako uende nayo shule usituibishe mwanangu."
No comments:
Post a Comment