Sunday, February 12, 2012

Shekhe...

Shekhe m1 aliletewa zawadi ya pensi kutoka Oman, 
Alipendelea sana kuivaa na kanzu wakati wa swala, ilitokea cku m1 Shekh alichelewa swala ya Ijumaa, na ilimbidi avae kanzu na kusahau kuvaa pensi kwa haraka zake,
Wakati anatia udhu miguuni alipandisha kanzu juu na makalio yote nje bila kujua, 
Waumini wakamuuliza kwa mshangao baada ya kumuona, Shekh makalio wazi
He! Vipi Shekhe!
Shekh akajibu
"hee munashangaa! MAMBO YA OMAN HAYO"

No comments:

Post a Comment