Wachaga sisi bwana,sikia mtoto wa kichaga anafundishwa kusoma ndo ajui atazikoje ila anavyo zitamka!!!
Mwalimu:hii ni nambari 1,sema moja!
Mtoto:shilingi moja!
Mwalimu:hapana hapa ubaoni sijaa andika shilingi,nimeandika tu moja kwahiyo sema moja!
Mtoto:moja!
Mwalimu:vizuri sana..aya sasa hii ni nambari 2,sema mbili!
Mtoto:shilingi mbili!
Mwalimu:(kwa hasira)we hiyo shilingi unaitoa wapi?
Mtoto:(bila wasiwasi)kwa mjomba Masawe,Baba huwa hanipi eti!
Hapa ataukichapa mpaka uuwe ila shilingi iko midomoni!
No comments:
Post a Comment