Sunday, February 12, 2012

watoto

Siku moja watoto wa KINDERGARTEN wote walipiga picha ya pamoja....

Kwahiyo mwalimu wao akaanza kuwashawishi kwa maneno matamu ili wakawaombe wazazi wao hela ya kila mmoja kununua COPY moja ya picha huku akiwaambia...

"Watoto wazuri, hembu fikirieni mkiwa wakubwa mkiiangalia hii picha kwa furaha na kukumbushana... 'Cheki Cicco, ni daktari cku hizi...' Au mnamuangalia MALINZA na kusema cheki, amekula HAKIMU.... Au mkimcheki...."

Kabla ya mwalimu kumalizia akasikia kisauti kikisisika kwa chini chini...
"Au tunamcheki MWALIMU wetu kwenye picha na kusema, ni MAREHEMU sasa....!!!"

No comments:

Post a Comment