Sunday, February 12, 2012

Jamaa alienda duka la nguo...

Jamaa alienda duka la nguo kununua zawadi kwa ajili ya Birthday ya mchumba wake...

Baada ya kuchagua sana akaona ni bora amnunulie pair ya GLOVES za kuvaa mkononi kama za maharusi kwa sababu ndicho kitu alichopendelea sana lakini mchumba wake hakuwa nazo...

Kwa kucndikizwa na dada wa mchumba wake (shemeji yake) waliokutana town wakaenda mpaka duka la nguo na kumnunulia mpenzi wake hizo Gloves. Dada mtu naye aliona si mbaya akajinunulia nguo za ndani mbili (bikini)...

Wakati wa kufunga, muuza duka akamix vitu na kumfungia dada mtu zile Gloves na yule mchumba wake akawekewa zili bikini 2. Bila ya kuangalia jamaa akaomba afungiwe kwenye box la zawadi na kuomba muuzaji amuwekee na ki-note alichokiandika kilichosema....

"Kwako mahabuba wangu!!!

Nimekuchagulia zawadi hii kwa sababu huna tabia ya kupenda kuvaa kila tukitoka out...

Kama icngekuwa dada yako ningekuchagulia ndefu zaidi na pana lakini dadako anapenda kuvaa fupi za kamba kamba kama hizi ambazo ni rahisi kuvaa na kuvua...

Mimi sikutaka sana kuchagua aina hii lakini dada muuzaji hapa nilikonunua alinionyesha na yeye aina hiyo hiyo kuwa ndiyo anayopenda kuvaa. Nilimpa ajaribu zako kwa ajili yangu nione, na kwa kweli alipendeza sana.

Natamani ningekuwepo nikuvalishe tena mbele ya watu siku ya kuvishana pete ili usije vaa zibaya kwa sababu nilimuona alivyo vaa na kufunga kwa umakini na taratibu sana...

Ukivua hakikisha unazikung'uta kabla ya kuzivaa tena siku nyingine kwa sababu najua hutazifua mara kwa mara...

Nakuomba sana uvae jumamosi jioni tukionana japo huna tabia hiyo, ukishindwa njoo nitakuvalisha...."

From your love!!!
Byeeee...

No comments:

Post a Comment