Wednesday, March 28, 2012

amaa mwoga alikuwa anapita makaburini

Jamaa mwoga alikuwa anapita makaburini
usiku. Akamwona mtu anachonga kwenye jiwe
la kaburi, akaona usalama kwamba hayuko
peke yake. Akamuuliza "Mzee mbona
unafanya kazi usiku?", yule mtu akamjibu
"Sipo kazini! wamekosea jina langu, nimetoka
kurekebisha!". Jamaa kazimia!

No comments:

Post a Comment