Kutokana na kuto aminiana
Kutokana na kuto aminiana cku hizi mr jason akaamua kumfunga mkewake kwa nguo ya ndani ya chuma... Kwani alikuwa anasafiri kimasomo US... Hivyo akampa rafiki yake funguo moja na kumwambia ikifika miaka minne sijafika wee mfungulie na umwache free... Basi mr Jason akaondoka! Baada ya muda akaona vumbi kubwa linakuja na kucheki akamwona rafiki yake anahema juu juu na kumwambia Jason kwamba umenipa funguo sio yenyewe...
No comments:
Post a Comment