Wednesday, March 28, 2012

Ckia utata hapa

Ckia utata hapa
Chick: watano ni ngapi dia?
Konda: Hai bebii
Chick: poa sana 
Konda: Hai bebii
Chick: We konda vipi na salamu zako acha tuingie huko hatutaki kugombani bwana
Konda: Nikwambiaje wewe haibebiiii haiendiii nyie vp mnadhani muda wote kuwachekea2 nyie vi dotcom waone

No comments:

Post a Comment