Bint wa miaka 14 alifunga ndoa na Mzee wa
miaka 73.
Usiku wa siku ya harusi wawili hao walikutwa
kila mmoja amekaa pembeni wakiwa wanalia.
Walipoulizwa mbona mnalia?
Bi harusi anadai "SIJUI KITU" na Bwana harusi
alipoulizwa nae akajibu, "NIMESHASAHAU" ....
Na ww kaa tu mpaka ufikie miaka 75. Uje
usahau...
No comments:
Post a Comment