Wednesday, March 28, 2012

mchungaji wa kizungu na mkalimani mmbongo

hii ni ya mchungaji wa kizungu na mkalimani mmbongo,
mzungu: haleluyaa
mkalimani: haleluya
mzungu: jesus is mesiah
mkaliman:yesu ni mmasai
... mzungu:jesus is masiah
mkalimani: yesu ni mmasai
mzungu:he is coming with the holly spirit
mkalimani: anakuja na lory la sprite
mzungu:than you and good bye
mkalimani:aksanteni na ununuzi mzuri

kutana na mkalimani huyu siku ya maombi katika kanisa fulan
mzungu: today i want to give you a story
malimani: leo ninataka kuwapa mtori
mzungu: jesus is about to come back
mkalimani: yesu yuko round about ya kigogo anakaribia kurudi nyuma
mzungu: i tell you once again jesus is a messiah
mkalimani: nawaambia tena yesu ni mmasai...........

No comments:

Post a Comment