Sunday, January 29, 2012

MTORO

siku moja mwalimu alikua anafundisha wanafunzi wa darasa la tano ktk shule 1 iliopo tanga,bahati mbaya wakati anaandika notsi chaki zikawa zimeisha,ikabidi azifuate ofisini,wakati anataka kutoka tu darasani akasikia sauti ikisema"ukitoka tu..ntakufyonza"..mwlm akajiuliza mara 2 2,akataka kupiga hatua nyingine ndipo aliposikia"hivi haunisikii au"..mwlm akawauliza wanafunzi io sauti ilikua inatoka wap,wanafunzi wakajibu kua hawajui,ndipo mwlm alipoaamua kumteua mwanafunzi m1 aendee hizo chaki,yule mwanafunzi alipofika mlangoni tu nae akasikia"we ndo unajifanya kababe ee!toka uone ntakacho kufanya..nakufyonza live huku unaona"mwnfunz hakwenda,darasa zima likawa kimya likisubiri kitu gan kitaendelea..ndipo ghafla wakasikia.."bora sasa iv mmetulia,mngetoka ningewafyonza"mwlm kuona ivo ikabidi apige simu polisi.polisi walifika.m1 akateulia kwenda kukagua,nae akasikia"sogea uone nnavyokufyonza"akakaza moyo kusogea kwenye maua,dogo m1 mtoro alikua akiyasemesha makamasi yake yaliyokua yakimtoka puani..enjoy ppo!

No comments:

Post a Comment