Tajiri kanunua mbuzi! Akamwambia mpishi!
"Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye
friza!
Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi
chukuchuku!
Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pika na
ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa!"
Mpishi akamuliza:
"Hutaki na sauti ya mbuzi tukichinja tufanye ring
tone kwenye simu yako?"
No comments:
Post a Comment