Wednesday, January 25, 2012

MMASAI NA MUUZA DUKA..

Mmasai kuona bei ya sukari akaahirisha kunywa chai kwake. Siku kapita hotelini
MMASAI: Chai sh. ngapi?
MUUZAJI: sh. 100 kikombe.
MMASAI: Nipe kikombe kimoja
(mhudumu kaleta chai na sukari kwenye kibakuli)
MMASAI: kwani hii sukari nayo inauzwa? mi nimesema chai kikombe ki1
MHUDUMU: hapana sukari ni bure, hatuuzi.
MMASAI: he! kumbe! mimi imeacha kunywa chai siku nyingi ati sukari imepanda bei, nyie mnatoa bure kumbe? haya PIMA KILO MBILI HAPA!
 

No comments:

Post a Comment