MAMA MKWE...
Kulikuwa na jamaa mmoja alizoe kila anapotoka kuoga anachungulia nje kisha anatoka mbio bila kuvaa nguo anaingia ndan kwake, asa ckumoja km kawaida yk kaoga akachungulia nje akaona kupo shwar akatoka mbio kufika ndani kwake mara anakutana na ma mkwe kakaa kwenyd makochi
No comments:
Post a Comment