Abiria mmoja aliyekaa siti ya nyuma ndani ya Tax alimgusa begani dereva Tax ili amuulize kitu... Ile kumgusa tu, dereva akashtuka na kupiga kelele mpaka akapoteza uelekeo na kunusurika kugonga maduka mawili na kundi la watu...
Dereva: "Daaaaah, umenishtua saaana... Yani kidogo roho initoke.."
Abiria: "Samahani sana... Sikutegemea kama kukugusa kidogo hivyo kungekushtua kiasi hicho, nilitaka tu nikuulize swali..."
Dereva: "Usihofu, si kosa lako... Ni siku yangu ya kwanza kama Dereva Tax.... Kwa miaka 15 nilikuwa mwendesha gari la maiti..." :P :D
No comments:
Post a Comment