Sunday, January 29, 2012

Jambazi

Jambazi alivamia nyumba akawavua nguo mtu na
mkewe halafu akawafunga kamba. Alipomaliza
kuiba, akamsogelea mke akamng'ong'oneza halafu
akaingia bafuni. Mumewe akamwambia mkewe "
Najua anakuja kukubaka, jikaze mke wangu ubaki
hai nakupenda sana". Mkewe akamjibu "Jamaa alikuwa anaulizia vaseline ilipo, yeye basha!
Kwahio jikaze mume wangu nakupenda sana!"

No comments:

Post a Comment