Vituko chumbani...
Mama: "Yako kubwa mme wangu...."
Baba: "Hapana, yako ndo kubwa halafu pana we huoni?!"
Mama: "We huoni kama yako ni ndefu halafu nyeusi?! Halafu ukichomekaga hutakagi kutoa...
Baba: "We mwenywe ndo unayenifanya nictoe harak coz hutakagi kuchmoa npaka ni ndo nchomoe nikichomeka?!?
(majiran hao dirishni)
Mama: "Poa 2malize ugomvi... Yanani inafaida na nzuri kuliko yamwenzie?!
Baba: "Zote ziko sawa, sema hiyo yako ni nokia, yangu nimotorola ila ucwe unachomeka kwa muda mrefu kwnye swich, uaweza iunguza na bill ya umeme imepanda mkewangu..."
(Haya majiran wote kwenu!!!)
No comments:
Post a Comment