Daaah... kuna siku Air Tz ilikodiwa na Hosp. ya Milembe iwapeleke vchaa Arusha kwa ajili ya kwenda kuvinjari ARUSHA NATIONAL PARK..
Sasa wakiwa angani wale vchaa wakawa wanasumbua sana kwenye ndege had kwa mapailot huko..
Air hoster kaogopa akaenda kujifungia kwa maruban; Docta msindikizaji akasinzia...
Bac mmoja wao wa wale vichaa aliyekua anajitambua kwa mbaaali akanyanyuka akamwambia...
''Yani nyie ni mataahira sana, toka muingie humu mna fujo sana... Bt anyways najua tatizo lenu na dawa yake...''
Bac jamaa akafungua mlango wa ndege akawaambia... ''Najua mmnafujo kwa sababu wamewakalisha muda wote humu... Haya nendeni mkacheze nje...''
Basi wakatoka wote mara docta akaznduka na air hoster akatoka wakamkuta kabaki jamaa peke yake...
Wakamuuliza kwa jazba... wenzio wamejificha wapi??
Jamaa akajibu kwa kujiamini kabisa...
''Aaaaaah, nimewaambia wakacheze huku nje ndo nawasubiri bado hawajarudi!!''
No comments:
Post a Comment