Wednesday, January 25, 2012

HASARA YA KUZAA NJE YA NDOA

Kuna kijana alikua anataka kuoa akamwabia baba yake kaniposee msichana fulani babake akamwambia tafuta kwingine yule ni dadako ila mamako hajui usmwambie, Kijana akatafuta mwingine baba akamwambia na huyo ni dadako ila mamako hajui watatu tena hivyo hivyo kijana akamind akamwambia mamake, mamake akamwambia kaoe yoyote kati yao yeye huyo si babako ila ye hajui.

No comments:

Post a Comment