Thursday, January 26, 2012

MATANI YA WAKENYA...

1. Ati wee ni m-black
mpaka ukiingia kwa
dinga, dirisha zinakuwa tinted! 
2. Kwenu kuchafu
mpaka mende zinatema
mate, ati ‘THU’ hii hao (HOUSE) ni noma.
3. Vile
wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full.
4. Kwenu nyi wakristu hata
dogi zenu zikiona
mwizi anaiba, zinawaambia “wee iba tu Mungu
anakuona.”
5. Ati hao(house) yenu ina gate lakini
hakuna
fence.
6. We' ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement
(sakafuni) miguu ina hang kwa hewa.
7. We mjinga mpaka ulifail blood test.
8. Wewe ni
mblack mpaka mosquito ikitaka
kukuuma lazima itumie torch.
9. We ni mrefu
mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mala (MGANDO/
MTINDI) .
10. Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa
unawacha footprint za blak kwa makaa.
11.
Nyanyako(bibi yako) mzee mpaka chawa
za nywele yake hutembea na bakora.
12. Ati nyinyi ni wengi nyumbani kwenyu
yaani buda(baba) yenu hajui majina mpaka
huwa
address kama wananchi. (KAMA RAISI
ANAPOTOA HOTUBA)
13. TV yenyu ni Ndogo
lazima ufunge jicho moja ndio uone picha.
14. Wewe mblack mpaka
unasweat soot.
15. Wewe mnono mpaka ukivaa
yellow watoto
wanafikiria ni schoolbus.
16. Manzii wako ni m
ugly mpaka alikataliwa ku
act horror(movie ya kutisha) Hollywood.
17. Nyumba yenyu ni ndogo mpaka lazima
utoke nje kuchange mind.
18. Kwenyu nyinyi ni
wengi mpaka kwa hao
(house) kuna round-about.
19. Kwenyu nyinyi ni
wa daft (WAJINGA)
mpaka kupata driving license ilibidi mpelekwe boarding school.
20. Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka
mnazitumianga kama steel wool.
21. Mko wengi
kwa hao(house) mpaka kuna
rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.
22. Wewe ni mshort mpaka ukishuka kutoka
kwa zile vitanda double decker lazima utumie
parachute.
23. Ati TV yenu ni ndogo hadi wasee
wa news
huanza kwa kusema ..ati Munatuona jamani?
24.Sistaako ni ugly mpaka monkey ikampatia ndizi.
25. We mblack mpaka ukikutana na mzungu
afternoon anakushow good evening?
26. Ngombe
yenu mzee mpaka inatoanga
yogurt
27. Kwenu kumekauka mpaka ngombe
yenu
hutoa milk powder.
28. Wee ni mzee mpaka ukiumwa na mosquito
zina tema mate
29. Paka yenu noma mpaka iki
shika panya
inaitisha chumvi, fork na pilipili.
30. Kwenu nyinyi ni wengi mpaka mkipigwa family photo wengine wanatokea kama wame hang(ning’inia) kwa frame.
31. TV yenu ndogo
mpaka wasee wa News
(watangazaji wa habari) wame piga magoti.
32. We mrefu mpaka ukianza kuvaa underwear mbichi by the time ifike kwa magoti
ime kauka.
33. Nyumba yenu ni chafu mpaka cockroach
huvaa slippers(malapa) .
34. Budako(baba yako) ni ****, alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka.

No comments:

Post a Comment