Sunday, January 29, 2012

BEST COMEDY

Chukua hii hapa ya miaka 50 ya uhuni na ufisadi

uongo mwingine bwana

jamaa akimtokea demu wa chuo 

jamaa-mambo
demu-poa 2

jamaa-vp unasoma wapi na unasomea koz gani?
Demu- nipo hapo UD nasomea bachelar of arts and Education.

Demu-na wewe je?
Jamaa- (huku akijiamini) aaa mi niko hapo IFM niko mwaka wa tatu nachukulia Bachelar of diploma and certificate manegment na ninatarajia nikimaliza nichukue pia masters of leaving and academic certificate.
Demu-(akajisemea kimoyomoyo) taira huyu c hivi hivi!

No comments:

Post a Comment