"Wabondei 2
walipanga kwenda kuiba duka la dhahabu,
usiku ulipoingia wakaenda na kuiba dhahabu
zote, cha kushangaza asubuhi polisi
walipokuja walimkuta mmoja pale dukani ,
walipomuuliza akawaambia mimi na
mwenzangu tumegawana yeye achukue
dhahabu mimi nichukue duka."
No comments:
Post a Comment