Dokta Milembe kaingia ward moja kakuta machizi wawili. Mmoja alikuwa anaact anakata kibao kwa vipande viwili na mwingine akining'inia juu ya dali miguu juu kichwa chini...
Dokta: unafanya nini?
Chizi: nakata kibao wee huoni?
Dokta: ooh namwenzako vipi mbona ananing'inia?
Chizi: aah mwache huoni huyo chizi anadhani yee taa..
Bac yule chizi aliekuwa juu akamind sana
Dokta: bac mtoe mwenzako?
Chizi: wee kweli chizi unadhani nkimtoa mwanga usiku ntapata wapi?
No comments:
Post a Comment