- Jambazi lilivamia familia moja na kutaka kuwaua, kabla ya kutiza azma yake alitaka kujua kwanza majina yao, JAMBAZI we mwanamke unaitwa nani? MWANAMKE naitwa ZAITUNI ! JAMBAZI we umesalimika coz jina lako linafanana na la mama yangu...JAMBAZI na wewe mwanaume? MWANAUME naitwa SAIDI ila kazini wananita ZAITUNI !!
No comments:
Post a Comment