Thursday, January 26, 2012

MFEREJINI

Kuna jamaa mmoja alikwenda ofisini J3 macho yake yakiwa mekunduuu!!
Bosi akamuuliza, "wewe kulikoni??"

Jamaa kajibu.."Jpili nlipokuwa kanisani mbele yangu alikaa mmama mmoja mneneeee, sasa tuliposimama wakati wa kuimba nyimbo za sifa, nligundua gauni lake limenasa kwy makalio ( MFEREJINI), sasa nlipoamua kumsaidia nilichomoe, akanitwanga ngumi jicho la kulia"

Bosi akauliza mbona sasa na la kushoto ni jekundu??
Jamaa akajibu.."sasa nlipoona hakupenda mm kulichomoa ktkt ya makalio, nkaamua kulirudishia ndani MFEREJINI kama lilivyokuwa"

No comments:

Post a Comment