Sharobaro anaandika barua taratiiiiiibu...
Mwenzake aliyekuwa akimsubiria post office akiwa na haraka akamuuliza...
"Oya mbona unaandika taratibu sana iyo barua?!?"
Sharobaro akajibu...
''Ebwana daaah!!! Demu mwenyewe ninaemuandikia wa form 2 nini, kwa hiyo, hawezi kusoma kiingereza kwa haraka nini... Si unajua!!!''
No comments:
Post a Comment