Wednesday, January 25, 2012

SIKIA HII INAHUSIKA PIA.....

  • Katika daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto wake,mtoto akakataa! mama akamwambia mtoto''nyonya kama hutaki nampa anko anyonye''(Anko ni kaka mmoja abiria aliyekaa na huyo mama pembeni)Mtoto akanyonya kidogo akaacha! Mama akamtishia tena mtoto kumpa anko anyonye! Ndipo yule kaka kwa hamaki akasema ''Mama uwe na msimamo basi,unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako,hebu kuwa mkweli,utanipa ninyonye au nishuke?....''

No comments:

Post a Comment