Sunday, January 29, 2012

MTOTO

Kuna mtoto alizaliwa akawa
haongei mpka alivyotimiza umri
wa miaka 8,neno lake la kwanza
kuongea likawa ni bibi,mara bibi
yake akafa ghafla,akaja tena
akatamka babu,naye babu akafa
ghafla,kwa hiyo watu wakawa na
wasiwasi na matamshi yake,ikaja
siku akatamka baba,basi baba
akawa na presha alijuwa naye
atakufa ghafla,matokeo yake
akaja kufa houseboy ghafla

No comments:

Post a Comment