Sunday, January 29, 2012

ANASIASA

UWONGO ULIVYOWAPONZA WANASIASA
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini, mkullima mmoja alipoona hivyo alichimba shimo na kuwazika wote kwa pamoja. Baadaye polisi walikuja na kumhoji kuhusiana na ajali pamoja na maiti na mahojiano yalikuwa hivi:-
Polisi :-Uliona ajali jinsi ilivyotokea?
Mkulima ;-Hapana, nilikuta imeshatokea na maiti zimezagaa.. Polisi :-Zipo wapi maiti?
Mkulima :-Nimezizika
Polisi :-Una uhakika wote walikua wamekufa?
Mkulima :-Kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo, mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote..

No comments:

Post a Comment