Mwanamke moja mwny tabia ya usalit km kawaida yao.cku moja bwana ake aliaga ana safar,ile kuondoa gar mwanamke akawapgia cm wanaume wawil.baaac baana ya mda bwana ake akawa amerud ghafla kuckia horn ya gar mwanamke kawafcha wale wanaume.mmoja darin na mwngne kabatin.
MAZUNGUMZO YAKAWA HV.
MKE,' mböna tena umerud?
MME: we acha tu,walimwengu wabaya sn.
MKE:mbn ckuelew una maana gan?
MME: tuyaache tu mke wangu.anajua alye juu.
MKE: bac c unambie mi mkeo.:
MME: mesema tumwachie yy alye juu cz yy ndo anajua.
MME: mme wng mi ckuelew ujue.alye juu nan
MME: alye juu humjui kwan? Au unataka mpk ashuke?
Jamaa kule darin kuckia mazungumzo hayo.ikabd aropoke ....'aaa bana utakua unanionea,mbn cko pk angu mwngne yupo kabatin'
dah! Jamaa wamejchongea akat yule mme alpokua anasema anajua alye juu almanisha MUNGU na hakujua km kuna wa2 wamejfcha
No comments:
Post a Comment