Thursday, January 26, 2012

MKALIMANI

kutana na mkalimani huyu siku ya maombi katika kanisa fulan
mzungu: today i want to give you a story
malimani: leo ninataka kuwapa mtori
mzungu: jesus is about to come back
mkalimani: yesu yuko round about ya kigogo anakaribia kurudi nyuma
mzungu: i tell you once again jesus is a messiah
mkalimani: nawaambia tena yesu ni mmasai...........

No comments:

Post a Comment